
Habari Njema 🥳🥳
Mgeni Rasmi wa Mahafali ya Kwanza ya Somait, Atakuwa...
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Zanzibar - Mhe. Lela Muhamed Mussa
Atakuwa Pamoja nasi katika Mahafali haya ili kusherehekea mafanikio, ubunifu na safari ya maendeleo ya vijana wetu kwenye teknolojia.
📅 Tarehe: 20 Desemba 2025 (Jumamosi)
📍 Mahali: Ukumbi wa Shule ya Haile Selassie, Stone Town – Unguja
⏰ Muda: Saa 2:00 asubuhi
Somait, Unlocking Digital Potential.