Artificial Intelligent

Kilio kimesikika. Baada ya maombi mengi, Mafunzo ya AI (Masterclass) ya siku mbili (2) yamewasili rasmi.

 

Artificial Intelligence Master Class, mafunzo ya vitendo ya siku mbili (2) yatakayokuwezesha kutumia AI moja kwa moja katika:

 

1. Uundaji wa maudhui ya maandishi

2. Kuandika prompts zenye matokeo bora

3. Utengenezaji wa picha na artwork kwa kutumia AI

4. Utengenezaji wa video kwa kutumia AI

5. Kutengeneza Website kwa kutumia AI

 

Tarehe: 17 – 18 Januari 2026

Muda: 9:00 AM – 4:00 PM

Mahali: Kiembe Samaki, Unguja / Mbagala, Kipati – DSM

Ada: TZS 49,999 kwa mshiriki

 

Note: Notes, Chakula na Cheti vitatolewa

 

⚠ Nafasi ni chache na usajili unafungwa hivi punde. Ukisubiri, unaweza kukosa.

 

👉 Jaza fomu ya usajili muda huu kupitia: www.ai.somait.ac.tz

 

📞 Mawasiliano:

‪+255 772 05 88 99‬ (Unguja) | ‪+255 767 45 88 99‬ (Dar Es Salaam)

 

Usingoje dakika za mwisho. Jisajili leo kabla nafasi hazijaisha.

0
Days
0
Hours
0
Minutes
0
Seconds

Event Details

  • 09:00 PM
  • 17 January, 2026
  • Both Zanzibar and Mbagala Campus